VITUS BENEDICTO MTAFYA

SPORT AND GAMES

Friday, October 31, 2014

YANGA KUIVAA KAGERA KESHO


  Wachezaji wa Young Africans wakiwa mazoezini leo asubuhi katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba
  
  Kikosi cha timu ya Young Africans kesho (jumamosi) kitashuka dimbani kusaka pointi tatu muhimu kutoka kwa wenyeji timu ya wakata miwa Kagera Sugar mchezo utakaochezwa kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
      Msafara wa Young Africans uliwasili jana mchana mjini Bukoba na kufanya mazoezi jioni katika Uwanja wa Kaitaba kabla ya kupumzika na leo asubuhi kufanya mazoezi mepesi ya mwisho kabla ya mtanange huo.
Kocha Marcio Maximo mara baada ya mazoezi ya leo asubuhi amesema anashukuru vijana wake wote wapo fit kuelekea kwa mchezo huo wa kesho ambao anaamin utakua mgumu kutokana na ubora wa timu ya Kagera Sugar lakini atapambana kuhakikisha anapata pointi tatu muhimu.
"Nimekua nikiifahamu Kagera Sugar kwa muda mrefu sasa, tangu nikiwa kocha wa timu ya Taifa (Taifa Stars) wamekua wakitoa upinzani kwat kubwa za Ligi Kuu lakini mie pamoja na jeshi langu tumejipanga kuhakikisha tunafaya vizuri kwa kupata pointi tatu" alisema Maxim.
Aidha Maximo amesema kuelekea katika mchezo wa kesho atawakosa washambuliaji wake wawili (Msuva & Javu) amabo ni majeruhi lakini wachezaji wengine 26 waliobakia wote wako fit kuelekea kwenye mchezo huo.
Young Africans inashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa kuwa na pointi kumi (10) sawa na timu ya Azam inayoshika nafasi ya pili kwa tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa huku Mtibwa Sugar ikiongoza Ligi kwa pointi 13.

Taarifa nyingine kuhusiana na kuanguka kwa kanisa la T.B Joshua

Synagogue-Collapse-BellaNaija1

Serikali ya jimbo la Lagos Nigeria, imesema sehemu ya jengo lililoaanguka katika kanisa la
Synagogue Church of All Nations, ambalo lilijengwa kwa ajili ya kufikia wageni lilijengwa bila kibali cha Serikali.
Kamishna anayesimamia mipango miji Lagos, Olutoyin Ayinde 
 
Amesema uchunguzi uliofanywa na tume iliyoongozwa na Oyetade Komolafe umeonyesha hakuna kibali kilichotolewa na 
 mamlaka hiyo kuidhinisha ujenzi wa jengo la ghorofa sita.
 
Amesema kibali kilichotolewa kilikuwa cha ujenzi wa jengo la kanisa ambalo ni ukubwa wa ghorofa tano pekee, na uchunguzi umebaini kibali hicho kilikiukwa kwa kujengwa ghorofa nane badala ya tano.

Anyinde amesema mamlaka hiyo imeagiza mamlaka ya anga kuchunguza juu ya ndege ambayo imedaiwa kuzunguka jengo hilo muda mfupi kabla ya jengo kuanguka.

tb-joshua 
Kesi hiyo inayosikilizwa mahakama kuu Lagos imeahirishwa mpaka Novemba 5 ambapo T.B Joshua atatoa ushahidi. Jengo hilo lilianguka Septemba 12 na kuua watu 116.

Thursday, October 30, 2014

AJARI YAUA WATU 9 MKOANI ARUSHA BAADA YA HAICE KUGONGANA USO KWA USO NA ROLI LA MAFUTA

 
Watu tisa  9 wamefariki  mkoani arusha na wawili kujeruhiwa vibaya baada ya haice kugongana uso kwa uso na  roli la mafuta iliyotokea eneo la Arumeru  mkoani arusha 
Akizungumza kamanda wa police mkoani arusha LEBARATUS  SABAS amesema kuwa ajari hiyo imetokea  majira ya saa kumi jioni .
   Baadhi ya mashuhuda  wa ajari hiyo ni  uzembe  wa dreva  wa gari dogo  na wameiomba mamlaka kuongeza adhabu kwa madreva  .
    Baadhi  ya  picha za ajari 




POLICE : POISON LIKELY KILLED UTAH FAMILY OF 5

FILE - In this, Sept. 28, 2014, file photo, shows the home where five Utah family members found dead in their home, in Springville, Utah. Police say the deaths of five members of a Utah family whose bodies were found last month do not appear to be accidental or natural. Court documents obtained Wednesday show the five members of the Strack family, including three children, were found in their Springville home, covered in bedding with cups of red liquid next to the bodies. (AP Photo/Rick Bowmer, File)
.
View photos
SALT LAKE CTIY (AP)A Utah couple and their three children found dead in their home last month were likely poisoned, their bodies found together in a locked room with cups next to each of them, and empty bottles of methadone and nighttime cold medicine in a trash can.
Police in Springville aren't saying who killed the family or whether one of the parents might have been involved. Toxicology results have not determined an exact cause of death, but search warrants obtained Wednesday say the family was likely poisoned.
Benjamin and Kristi Strack were in bed, with children ages 11 through 14 lying around them, tucked in bedding up to their necks, according to the search warrants. Kristi Strack had a red liquid coming out of her mouth.
Some of the bodies looked to have been positioned after they died Sept. 27. They were found by the couple's older son and Kristi Strack's mother, who said she couldn't believe "she" would do this to the kids but wouldn't elaborate, police wrote.
Investigators found empty methadone bottles, 10 empty boxes of nighttime cold medicine and two boxes of allergy medicine in their garbage, along with a red liquid substance in Pepsi cups. They also found a pitcher of red juice, a purple bucket with yellow liquid, a bag of marijuana and other medications, including sleeping pills.
Springville police Lt. Dave Caron said Wednesday he couldn't comment on the search warrant or speculate about the cause of death until results of a toxicology test come back. That's expected in late November, he said.
"Until I get those, I really don't have anything," he said. "I could come up with all sorts of theories, but it's not helpful."
The search warrant says it wasn't normal for the children to be in their parents' room because they have their own rooms.
Kristi Strack was last seen alive at 6 a.m. by the older son's girlfriend, who also lives in the home. The girlfriend went back to sleep after talking with Kristi Strack, and the house was quiet when the older son and his girlfriend left the house that afternoon.
When they returned at 7 p.m. and saw the house was still quiet even though all the cars were in the driveway, they knocked on the master bedroom door. When no one answered, the couple called Kristi Strack's mother and her friend, who helped them force it open.
Authorities have previously said the five did not die violently.
The five were identified as Benjamin Strack, 37, his wife, Kristi, 36, and three of their children: Benson, 14, Emery, 12, and Zion, 11.
Little is known about the family. A family spokesman has declined to reveal much and, at a vigil, family members declined comment.
Benjamin Strack's former boss said he worked off-and-on for six to seven years at AK Masonry, a bricklaying company, and had borrowed money in the past. Court records show Benjamin and Kristi Strack pleaded guilty to misdemeanor forgery charges in 2008 and disorderly conduct the following year.

Wednesday, October 29, 2014

MLEGEZO WAMPONZA CHID BENZ MAHAKAMANI

Kuonyesha wapo makini na mavazi polisi polisi walimtaiti staa wa bongo fleva ,Rashid makwiro "chid benz"kumtaka avae vizuri na alejee mahakamani. 
Tukio hilo lilitokea juzi siku ya jumanne katika mahakama ya kisutu jijini dar es salaamwakati staa huyo alipo fikishwa kwa kosa la kukamatwa na madawa ya kulevya  akiwa katika viunga hivyo vya kisutu dar es salaam .

Tuesday, October 28, 2014

MBOWE : UKAWA SASA NI MBELE KWA MBELE


  Salaam katikaMwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiwapungia mkono wafuasi wa chama chake, NCCR - Mageuzi, CUF na NLD alipokuwa akiwasili kwenye Viwanja vya Jangwani, Dar e utiaji saini makubaliano ya vyama hivyo,

Kwa ufupi

Mwenyekiti wa APPT-Maendeleo, Peter Mziray alisema: “Hili si jambo jipya kwa kuwa lilishawahi kutokea lakini baada ya kuona halina maana wengine tuliamua kujitoa… tumekaa pembeni tuone watakapofika.




   Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kamwe hautarudi nyuma katika makubaliano yaliyofikiwa juzi, likiwamo la kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi mbalimbali za uongozi.
Kauli ya Mbowe ambaye ni mwenyekiti mwenza wa Ukawa imekuja huku kukiwa na maoni kutoka kwa watu mbalimbali wakiukosoa ushirikiano huo na kwamba hautadumu kutokana na viongozi wengi wa kisiasa nchini kuwa na tabia za kutanguliza masilahi binafsi.

Miongoni mwa mambo yanayotajwa kuwa kikwazo kwa viongozi hao ni suala la ruzuku ambayo hutolewa kwa kuzingatia wingi wa wabunge na idadi ya kura za mgombea urais pamoja na suala la mgawanyo wa majimbo ya uchaguzi hasa katika maeneo ambayo chama zaidi ya kimoja vina nguvu.

Hata hivyo, jana Mbowe alipuuza dhana hiyo kwa kusema: “Historia ya upinzani nchini imetufundisha mengi na tutakuwa wajinga kama muda wote hatukuweza kujifunza.

“Tunafahamu na tunatambua wapo watu ambao walijitahidi sana kutugawa na kutugombanisha, lakini naomba Watanzania watambue kwamba katika hatua hii hatutakubali kugawanyika tena wala kugombana tena.”

Juzi, vyama vinavyounda Ukawa; Chadema, NCCR Mageuzi, CUF na NLD vilisaini makubaliano ya kushirikiana ikiwa ni pamoja na kusimamisha mgombea mmoja katika chaguzi zote zijazo tukio lililofanyika kwenye mkutano wa hadhara katika Viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam.

Akizungumzia suala la ruzuku, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia alisema: “Tuna uzoefu wa miaka 24 sasa katika siasa za vyama vingi na siasa za ushindani, kwa hiyo suala la ruzuku haliwezi kutugombanisha kwa sababu tumeamua kwa dhati kuweka mbele masilahi ya nchi.

“Hilo linawezekana kabisa, tumeonyesha mfano kwa sababu pamoja na umaskini wetu, tulisusia Bunge la Katiba na tukakosa zaidi ya Sh3 bilioni. Hii haimaanishi kwamba watu wetu hawakuwa wakihitaji hizo fedha, lakini ni suala la msimamo tu kuhusu masilahi mapana ya nchi.”

Alisema mambo yote yanayofanyika ndani ya ushirikiano huo yamekuwa yakiratibiwa na timu za wataalamu wakiwamo wanasheria kisha mapendekezo husika kuridhiwa na viongozi wakuu, hivyo hakuna shaka kwamba kila jambo litafuata utaratibu huo.

“Tunao wataalamu wengi wakiwamo wanasheria, kwa hiyo hakuna kitakachoshindikana maana sisi hatuongozwi na matakwa ya ruzuku, tunaongozwa na dhamira safi za kutanguliza masilahi mapana ya nchi,” alisisitiza.

Muungano wa Ukawa dhidi ya CCM, ni matokeo ya misuguano iliyojiri wakati wa mchakato wa Katiba. Hatua ya kwanza ilianza kwa Mbowe kuunda Baraza la Mawaziri Kivuli, likiwashirikisha wabunge kutoka vyama hivyo isipokuwa NLD ambacho hakina mwakilishi bungeni.

MFANYABIASHA ALIYE JILIPUA KWA RISASI JIJINI ARUSHA AIBUA MAMBO MAZITO

Suala la mfanyabiashara Timoth mroki kujiua kwa risasi kumeibua mambo mapya  kutokana na kuelezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi .

Habari zilizopatikana kutoka jijini arusha , zinasema kuwa Mroki (36) Alikuwa na vimada wawili ambao ni wake za watu na kabla hajafanya tukio hilo la kupo Alitoa taarifa kwa wanawake hao ( majina yao yamehifadhiwa )

Habari kutoka ndugu wa karibu ni kwamba vimanda hao baada ya kufahamiana waliamua kupiga picha  ya pamoja na kumlushia Mroki kwa njia ya simu  ya mkononi . Kugundulika kwa siri hiyo kurizusha tahaluki  kwa mroki  hivyo kukasababisha kuyumba kwa mahusiano baina ya vimada hao wawili , akiwepo mmoja ambaye ni mshirika wake wa biashara 
   kwa habari zaidi ungana na mpekuzi .com

Saturday, October 25, 2014

MSANII WA KIZAZI KIPYA CHID BENZ AMEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA KATIKA AIRPORT DAR

Msanii wa bongo freva  Rashidi makwiro " chid benz " amekamatwa na madawa ya kulevya aina ya Heroine na bangi akiwa kwenye uwanja wa mwl. julius nyerere jijini dar es salaam jana 
 Akizungumza na kamanda wa kuzuia na kupambana na madawa ya kulevya  ALFRED  NZOWA  Amehtibitisha kutokea kwa tukio hilo  kuwa msanii huyo alikuwa njiani kuekea mbeya  kwa ajiri ya shuguli zake za kimziki 

Thursday, October 23, 2014

WAZIRI MKUU MH: MIZENGO PINDA ATANGAZA RASMI KUGOMBEA URAIS 2015



    Sio tetesi  tena . sasa ni rasmi kwamba waziri mkuu,  mizengo pinda  anmbaye alikuwa  akitajwa kuwania urais  amethibitisha wazi kuwania kiti hicho  katika uchaguzi mmkuu mwakani . Alitoa uthibitisho huo  juzi akiwa London uingereza  ambako yupo  katika shuguli za kikazi.
   Hatua hiyo amboyo inandoa uvumi  ambao umekuwepo takribani miezi mitatu  sasa kwamba naye tayari ameingia katika kinyang'anyilo hicho

Wednesday, October 22, 2014

DIAMOND PLATINUM AKAMATWA NA POLICE NA KUHOJIWA KWA SAA KADHAA

  


Baada ya meneja wake kukamatwa jana jioni  na wacheza shoo wake kukamatwa leo Asubuhi. Hatimaye Diamond ajisalimisha  kituo cha police (oyster bay)

Baada ya msanii huyo kujisalimisha , Alihojiwa kwa masaa kadhaa kisha akaachiwa kwa dhamana baada ya kukabithi sare ya JWTZ  kituoni Hapo

Tuesday, October 21, 2014

 

     NAMSHUKURU MUNGU  KWA KUNIWEKA  TANZANIA


NAJIVUNIA  MALIASILI YANGU 

                          

Monday, October 20, 2014

              HABARI  YENU




       NAWAKARINBISHA WATU
WOTE KUSHILIKIANA NAMI KWENYE BLOG HII