Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Abass Kandoro wakati
alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Songwe mkoani humo leo Sept
20,2015 kwa ajili ya kuhudhuria sherehe ya kuwekwa wakfu Askofu
mteule wa Kanisa la Morovian Tanzania Jimbo la kusini Mchungaji Kenan
Salim Pannja zilizofanyika katika Uwanja wa michezo wa Tandale mjini
Tukuyu Mkoani Mbeya.
Wasanii
wa kwaya ya Kanisa la Morovian Tanzania Jimbo kuu la kusini wakitoa
burudani wakati wa sherehe ya kuwekwa wakfu Askofu Kenen Salim Panja
iliyofanyika leo Sept 20,2015 katika Uwanja wa michezo wa Tandale mjini
Tukuyu Mkoani Mbeya.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akisalimiana na kumpongeza Askofu mteule wa Kanisa la Morovian
Tanzania Jimbo la kusini Mchungaji Kenan Salim Panja wakati wa sherehe
ya kuwekwa wakfu iliyofanyika leo Sept 20,2015 katika Uwanja wa michezo
wa Tandale mjini Tukuyu Mkoani Mbeya.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akiwahutubia waumini wa Kanisa la Morovian Tanzania Jimbo la
kusini kwenye sherehe ya kuwekwa wakfu Askofu mteule wa Kanisa hilo
Mchungaji Kenan Salim Panja iliyofanyika leo Sept 20,2015 katika Uwanja
wa michezo wa Tandale mkoani Tukuyu Mkoani Mbeya.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akiagana na Askofu wa Kanisa la Morovian Tanzania Jimbo la kusini
Kenen Salim Panja baada ya kumalizika kwa Misa na Ibada maalum ya
kuwekwa wakfu Askofu huyo iliyofanyika leo Sept 20,2015 katika Uwanja wa
michezo wa Tandale mjini Tukuyu Mkoani Mbeya.
No comments:
Post a Comment