Amri imetolewa ya kuwataka abiria
kuondolewa kwa ferry iliyo na karibu abiria 460 ambayo ilishika moto
ilipokuwa safarini kutoka nchini Ugiriki kwenda Italia.
Abiria
waliokuwa kwneye ferry hiyo walipiga simu kwa vituo vya runinga nchini
Ugiriki wakisema kuwa mawimbi makali na upepo unatatiza shughuli za
uokoaji.Maafisa wa ulinzi wa pwani nchini Ugiriki wamesema kuwa ferry hiyo ya Norman Atlantic ilikuwa umbali wa kilomita 30 kutoka kisiwa cha Othonoi wakati walipotuma ujumbe .
Vyombo vya habari nchini Italia vinasema kuwa moto ulianzia kwenye eneo la kuegesha magari.
No comments:
Post a Comment