Ivo ametoa kauli hiyo baada ya mechi dhidi ya
Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ambapo Simba
ilifungwa bao 1-0 yeye akiwa langoni. Mashabiki wamemlalamikia kuwa
alifungwa bao hilo kizembe.
Ivo aliliambia Mwanaspoti kuwa hataki tena kukaa
langoni katika mechi za Simba za ligi na nyinginezo kwani imani ya
mashabiki kwake imepotea kwani hata akifungwa katika mazingira ya
kawaida haeleweki.
“Nafanya kazi katika mazingira magumu mno, sina
raha wala amani ndani ya timu, kila mechi nikidaka lazima nilaumiwe sasa
kuna haja gani ya kuendelea kusimama langoni? Nitazungumza na kocha
asinipange tena kudaka mechi zilizobaki, nataka nikae benchi,” alisema
Ivo.
Hii ina maana Simba itapaswa kumtumia kipa
chipukizi Manyika Peter katika mechi dhidi ya Mgambo JKT Jumapili wiki
hii jijini Tanga.

No comments:
Post a Comment