VITUS BENEDICTO MTAFYA

SPORT AND GAMES

Thursday, April 9, 2015

PICHA MBALIMBALI ZA MATUKIO YA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA CHADEMA ULIOFANYIKA JANA KATIKA KIJIJI CHA BUPIGU WILAYA NI YA ILEJE.



LENGO LA MKUTANO HUO  ULIKUWA NA MADHUMUNI YA KUWAAMASISHA WANANCHI KUIAMINI CHADEMA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015 
MKUTANO ULIONGOZWA NA KATIBU WA BAVICHA MKOA WA MBEYA .
Kutokana na hali ya hewa kutokuwa nzuri msafara huo wa makamanda ulipatwa na vikwazo mbalimbali ambavyo pia ni changamoto kubwa kwa makamanda hao. 

Hiki ni  kikundi cha ngoma za asili kikitumbuza 

Baadhi ya wananchi wakifuatilia kwa makini mkutano huo 


Pichani ni  Katibu wa Vijana Chadema (BAVICHA) mkoa wa Mbeya 
Ndugu:
 GWAMAKA MBUGHI

No comments: