VITUS BENEDICTO MTAFYA

SPORT AND GAMES

Sunday, February 22, 2015

KWA MARA NYINGINE TENA CHADEMA WILAYANI ILEJE



TUNAKUTANGAZIA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA UTAKAOFANYIKA TAREHE 25.2.2015 KATIKA KATA YA MALANGALI KIJIJI CHA MALANGALI, AMBAPO PAMOJA NA WATU WENGINE MKUTANO UTAHUTUBIWA NA:- 1.JOSEPH SICHEMBE alias CHINA-M.kiti CHADEMA MKOA WA MBEYA 2.GWAMAKA MBUGHI alias KAGHOMBE-KATIBU BAVICHA MBEYA 3.JAMES KAYINGA-MJUMBE KAMATI TENDAJI ILEJE.N.K HODI MALANGALI. Na njoo ujue kuhusu.

1.Msimamo wa CHADEMA kuhusu mchakato wa Latina
2.Daftari la kudumu la wapiga kura.
3.Hali ya kisiasa na uchumi
ILEJE. CHADEMA TUMAINI LETU.
Imetolewa na Gwamaka Mbughi. Kny:Katibu Mkoa-Mbeya.










No comments: