
Kwenye msafara wa Diamond Platnumz kulikua na Polisi pia ambao kazi yao ilikua ni kuhakikisha usalama unakuwepo ambapo sehemu nyingine Diamond alilazimika kushuka na kutembea kupiga picha na watu wake.
















Ni ahadi yangu kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza
No comments:
Post a Comment